Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hali sasa ni kuna matumaini Somalia ukilinganisha na hapo awali

Hali sasa ni kuna matumaini Somalia ukilinganisha na hapo awali

Pakua

Mtaalamu huru wa haki za binadamu kwa Somalia, Bahame Tom Nyanduga, ametoa tathmini yake ya hali ya haki za binadamu nchini humo hususan suala la uchaguzi, wanawake na watoto  kwenye taifa hilo la Afrika, akisema hali angalau sasa kuna matumaini zaidi ikilinganishwa na hapo awali. Priscilla Lecomte na ripoti kamili.

Audio Credit
Grace Kaneiya/Priscilla Lecomte
Audio Duration
3'2"
Photo Credit
UN Photo/Ilyas Ahmed)