Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Madhara kutokana na hofu ya uzazi wa mpango ni mengi-WHO

Madhara kutokana na hofu ya uzazi wa mpango ni mengi-WHO

Pakua

Utafiti mpya wa shirika la afya ulimwenguni, WHO, umebaini kuwa theluthi mbili ya wanawake wenye uwezo wa kubeba mimba na ambao wana nia ya kuchelewesha kupata ujauzito au kudhibiti idadi ya watoto huacha kutumia huduma za uzazi wa mpango kwa hofu ya madhara ya huduma hizo.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Flora Nducha
Audio Duration
2'8"
Photo Credit
Diana Nambatya/Photoshare