25 Oktoba 2019

25 Oktoba 2019

Katika jarida letu la mada kwa kina hii leo Grace Kaneiya anakuletea

-Hofu ya njia za uzazi wa mpango yasababisha wanawake kubeba ujauzito usiopangwa kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na WHO katika nchi 36 duniani.

-Angalau sasa wigo wa upigaji kura Somalia umekuwa mpana tofauti na awali amesema mtaalam huru wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Somalia Tom Bahame Nyanduga

-Baada ya kushinda tuzo ya mwalimu bora duniani, Mwalimu Tabichi ang'ara tena katika tuzo ya Umoja wa Mataifa ya mtu bora nchini Kenya

-Mada kwa kina inajikita katika vikundi vya wanawake huko Geita Tanzania ambavyo vinawasaidia katika masuala ya ujasiriamali

-Na katika kujifunza Kiswahili hii leo mtaalam wetu Onni Sigalla kutoka Baraza la Kiswahili Tanzania BAKITA anachambua maana ya neno "PEPA"

Audio Credit:
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration:
9'56"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud