Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN yaadhimisha siku ya Umoja wa Mataifa ikitimiza miaka 74 tangu kuanzishwa

UN yaadhimisha siku ya Umoja wa Mataifa ikitimiza miaka 74 tangu kuanzishwa

Pakua

Amani, usalama, upendo na mshikamano ndio msingi wa mustakabali wa dunia amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio guterres katika ujumbe wake wa siku ya Umoja wa Mataifa hii leo.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Brenda Mbaitsa
Audio Duration
1'44"
Photo Credit
UN Photo/Albert Gonzalez Farran