Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkataba wa WHO na IGBA utaimarisha upatikanaji wa dawa na hatimaye afya kwa wote yasema WHO

Mkataba wa WHO na IGBA utaimarisha upatikanaji wa dawa na hatimaye afya kwa wote yasema WHO

Pakua

Shirika la afya Ulimwenguni, WHO limetia saini leo Jumanne makubaliano na taasisi ya kimataifa ya dawa zinazotengenezwa bila kufuata masharti ya ataza ambayo ni haki ya umiliki wa dawa halisi, IGBA kwa ajili ya kuimarisha upatikanaji wa dawa kwa wote ambao hukwamishwa na sababu mbali mbali.

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
1'31"
Photo Credit
Petr Pavlicek/IAEA