Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nikipata fursa tena nitafunga safari kwenda Ulaya:Wahamiaji toka Afrika

Nikipata fursa tena nitafunga safari kwenda Ulaya:Wahamiaji toka Afrika

Pakua

Wahamiaji wasio wa kawaida waliofunga safari hatarishi kutoka bara Afrika hadi Ulaya wanaweza kufunga safari hizo tena licha ya kujua hatari za safari hizo imesema ripoti ya shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo UNDP leo Jumatatu Oktoba 21.

Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration
3'2"
Photo Credit
Photo: UNHCR/M. Edström