Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu wengi zaidi walipata tiba dhidi ya TB mwaka 2018-WHO

Watu wengi zaidi walipata tiba dhidi ya TB mwaka 2018-WHO

Pakua

Ripoti mpya ya shirika la afya duniani, WHO,  imesema kuwa watu wengi zaidi walipata tiba dhidi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu, TB, mwaka 2018 kuliko wakati wowote ule kutokana na kuimarika kwa mbinu za utambuzi wa ugonjwa huo.  

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Grace Kaneiya
Audio Duration
2'14"
Photo Credit
UN News/Daniel Dickinson