Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tani bilioni za chakula zinatupwa kila mwaka kwa nini tuwe na njaa?:Guterres

Tani bilioni za chakula zinatupwa kila mwaka kwa nini tuwe na njaa?:Guterres

Pakua

Ikiwa leo ni siku ya chakula duniani wito ukiwa ni kutokomeza njaa- na kuwa na dunia ambako chakula chenye lishe bora kinapatikana kwa bei nafuu na kwa watu wote na kila mahali, Umoja wa Mataifa unahoji iweje leo hii zaidi ya watu milioni 820 hawana chakula cha kutosheleza mahitaji yao.

Audio Credit
UN News/Nicholas Ngaiza
Audio Duration
2'51"
Photo Credit
FAO/Giulio Napolitano