Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Utafahamu mengi kuhusu saratani kupitia Atlasi mpya iliyozinduliwa:IARC/WHO

Utafahamu mengi kuhusu saratani kupitia Atlasi mpya iliyozinduliwa:IARC/WHO

Pakua

Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa saratani, IARC na wadau wake wamezindua toleo la tatu la atlasi au kitabu cha ramani kinachoonesha hali ya saratani duniani.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
1'51"
Photo Credit
IAEA