Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Zaidi ya watoto 67,000 wapokea zawadi ya viatu kutoka kwa mwanamuziki Anjelique Kidjo

Zaidi ya watoto 67,000 wapokea zawadi ya viatu kutoka kwa mwanamuziki Anjelique Kidjo

Pakua

Nchini Benin zaidi ya watoto wa kike 67,000 wa umri wa kati ya miaka 6 na 17 wiki hii wamepokea zawadi ya viatu kama sehemu ya ushirikiano baina ya wakfu wa Batonga unaosimamiwa na mwanamuziki nyota Anjelique Kidjo, shirika la TOMS na shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF

Audio Credit
Assumpta Massoi/ John Kibego
Audio Duration
1'58"
Photo Credit
UNICEF