Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kujiua kunachangia kiasi kikubwa cha vifo duniani :WHO

Kujiua kunachangia kiasi kikubwa cha vifo duniani :WHO

Pakua

Mtu mmoja hufariki dunia katika kila sekunde 40 kwa kujiua, limesema shirika la afya duniani hii leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya afya ya akili.

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
1'39"
Photo Credit
World Bank/Dominic Chavez