10- Oktoba- 2019

10 Oktoba 2019

Hii leo Flora Nducha anaanza na afya ya akili! Je wajua kila sekunde 40 mtu mmoja anajiua? Kisha anabisha hodi Syria ambako kufuatia mashambulizi ya jana, kauli za kulaani kitendo hicho zatolewa na tunamulika pia uchumi Afrika, Benki ya Dunia ikiaangazia  nafasi ya wanawake katika kuinua uchumi wa bara hilo. Makala tunakwenda Kagera nchini Tanzania kuangazia wazee na mashinani ni maoni yako kuhusu utafiti uliobainisha mateso wanayopata wajawazito wakati wanajifungua. Karibu!

Audio Credit:
Flora Nducha
Audio Duration:
10'52"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud