Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Eric Museveni, mkimbizi kutoka DRC asema Muziki umenipatia ndugu ukimbizini

Eric Museveni, mkimbizi kutoka DRC asema Muziki umenipatia ndugu ukimbizini

Pakua

Eric Museveni mwenye umri wa miaka 29, bila familia yake, alipoikimbia nchi yake ya Jamhuri ya kidemkorasia ya Congo mwaka 2015 na kuingia mjini Nairobi Kenya hakujua kuwa iko siku atapata familia mpya. Lakini Mungu si athumani, kupitia kipaji chake cha muziki, Eric amekutana na Peter Mulu kijana raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 30 ambaye amegeuka kuwa familia yake.

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
1'38"
Photo Credit
UN/Cia Pak