Neno la Wiki-  "Kufadhili mfadhili mbuzi binadamu atakuudhi"

4 Oktoba 2019

Sasa tunakwenda kwa mtaalam wetu wa kiswahili juma hili ambaye ni Mwanahija Ali Juma katibu mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar , BAKIZA anafafanua msemo usemao "Kufadhili mfadhili mbuzi binadamu atakuudhi".

Audio Credit:
Mwanahija Ali Juma
Audio Duration:
55"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud