Licha ya kuwa ukimbizini, mkimbizi Amina ajizatiti kukidhi mahitaji ya familia yake

Licha ya kuwa ukimbizini, mkimbizi Amina ajizatiti kukidhi mahitaji ya familia yake

Pakua

Hakuna kazi mbaya ili mradi haikulazi njaa wewe na familia yako, hiyo ni kauli ya Bi. Amina mkimbizi kutoka Syria ambaye kwa sasa anaishi kwenye kambi ya wakimbizi ya Domiz akifanya kila awezalo kulisha familia yake kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR

Audio Credit
Arnold Kayanda/ Assumpta Massoi
Audio Duration
1'57"
Photo Credit
Photo: Jodi Hilton/IRIN