Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN yatangaza mgonjwa wa 1000 wa ugonjwa wa ebola kupona, lakini kazi bado ipo

UN yatangaza mgonjwa wa 1000 wa ugonjwa wa ebola kupona, lakini kazi bado ipo

Pakua

Wakati manusura wa 1000 wa ugonjwa Ebola ameruhusiwa kwenda nyumbani leo mashirika ya Umoja wa Mataifa yanafanya kila liwezekanalo kuzuia mlipuko unaoendelea wa ugonjwa huo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.

Audio Credit
Arnold Kayanda/ Flora Nducha
Audio Duration
3'8"
Photo Credit
UNICEF/Martine Perret