Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukame wasukuma wasomali kukimbia kusaka hifadhi Ethiopia

Ukame wasukuma wasomali kukimbia kusaka hifadhi Ethiopia

Pakua

Hali mbaya ya ukame na usalama nchini Somalia imewalazimu maelfu wa watu kuendelea kufungasha virago tena na kukimbia nchi jirani ya Ethiopia kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Arnold Kayanda
Audio Duration
1'52"
Photo Credit
WFP/Jiro Ose