Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ugonjwa wa mnyauko wa migomba wahatarisha uzalishaji wa nidzi-FAO

Ugonjwa wa mnyauko wa migomba wahatarisha uzalishaji wa nidzi-FAO

Pakua

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO kwa kushirikiana na wadau linaongeza juhudi za kuzisaidia nchi kupambana na tishio kubwa la ugonjwa wa mnyauko wa migomba unaoathiri uzalishaji wa ndizi kwa kuzindua mradi maalum.

Audio Credit
Assumpta Massoi/ Flora Nducha
Audio Duration
1'38"
Photo Credit
Picha: World Bank/Yosef Hadar