03 OKTOBA 2019

3 Oktoba 2019

Miongoni mwa anayokuletea leo Assumpta Massoi katika Jarida la Habari ni pamoja na 

-Kamati ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo UNCTAD yataka Matajiri Afrika wawekeze kwa vijana  wa bara hilo

-FAO na wadau wazisaidia nchi kukabiliana na ugonjwa wa mnyauko wa migomba Amerika ya Kusini na Caribbea

-Ukame na hali mbaya ya usalama yawafungisha virago zaidi Wasomali na kuingia Ethiopia

-Makala leo inamulika hatua zilizopigwa na Kenya katika ujumuishaji wa watu wenye ulemavu katika maendeleo

-Na mashinani utamsikia mtoto wa darasa la sita Aleppo Syria aliongelea ndoto zake.

Audio Credit:
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration:
11'54"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud