Napenda kufanya kazi na jamii ndio sababu najihusisha na kupigania usawa wa kijinsia- Thobias Komba

2 Oktoba 2019

Msukumo wa kufanya kazi na jamii moja kwa moja umepelekea kijana Thobias Komba kutoka Tanzania kujihusisha na harakati za kuhakikisha usawa wa kijinsia kupitia shirikia lisilo la kiserikali la Restless Development nchini humo. Licha ya kwamba suala hilo linaolekana kama kujikita zaidi na wanawake au watu wa umri wa juu zaidi lakini kijana Komba anasema kufanya kazi katika jamii kunampa fursa ya kuielewa jamii zaidi na kuishi na jamii vizuri zaidi. Kwa undani wa makala ungana na Grace Kaneiya akizunugmza na kijana Komba ambaye anaanza kwa kuelezea kwa nini anajihusisha na maswala ya kupigania usawa wa kijinsia.

Audio Credit:
Brenda Mbeitsa/ Thobias Komba
Audio Duration:
3'49"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud