02 Oktoba 2019

2 Oktoba 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anakuletea

-Katika siku ya kimataifa ya kupinga machafuko Umoja wa Mataifa umesisitiza kufuata nyayo za Mahatma Gandhi kuziba pengo la usawa kuepusha makachafuko

-Nchini Sudan Kusini mchakato wa amani ukiendelea sasa wananchi wanahisi kuwa nao ni sehemu ya mchakato huo na sio viongozi wa siasa pekee

-Huko Visiwani Unguja Zanzibar nchini Tanzania Mradi wa uzazi wa mpango wa UNFPA  umeboresha hata mapenzi kati watu

-Makala leo inatupeleka Tanzania tunakutana na kijana kutoka Restless Development anayependa kufanya kazi na jamii hasa kupigania usawa wa kijinsia 

-Na mashinani 

Audio Credit:
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration:
12'9"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud