Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO, UNICEF, serikali ya DRC mbioni kukabiliana na janga la surua

WHO, UNICEF, serikali ya DRC mbioni kukabiliana na janga la surua

Pakua

Shirika  la afya ulimwenguni, WHO na wadau wamezindua kampeni ya dharura  nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC kwa ajili ya kukabiliana na mlipuko mkubwa wa surua ambao  hadi sasa umesababisha vifo vya watu zaidi ya 3,600.

Audio Credit
Arnold Kayanda/ Flora Nducha
Audio Duration
2'48"
Photo Credit
© UNICEF/Marixie Mercado