1 Oktoba 2019

1 Oktoba 2019

Jaridani Oktoba Mosi na Arnold Kayanda:

-Pata habari kuanzia leo ni skiu ya wazee duniani ambapo tumeangazia hali ya mzee nchini Uganda

-WHO na UNICEF na wadau waungana kutoa chanjo ya surua nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

-Majadiliano kati ya WHO na Tanzania kuhusu Ebola yanaendelea-WHO

Makala inaangazia wanawake kutoka Kenya wanaotengeneza majeneza mjini Nairobi

Mashinani ni wito kwa vijana kutoka kwa kijana mwenzao Abel Koka kutokashirika la Restless Development Tanzania.

 

Audio Credit:
Arnold Kayanda
Audio Duration:
12'59"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud