Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hofu yatanda juu ya uchafuzi wa Msitu Bugoma, Uganda

Hofu yatanda juu ya uchafuzi wa Msitu Bugoma, Uganda

Pakua

Kwa mujibu wa shirika la mpango wa mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP misitu ni rasilimali adhimu katika suala zima la uhifadhi wa mazingira na kudhibiti mabadiliko ya tabianchi. Pia hua ni msingi wa maisha na kipato kwa kuwezesha kilimo na upatikanaji wa nishati kwa asilimia kubwa ya watu dunaini hasa wale waishiyo katika maeneo ya vijijini. Matumizi endelevu ya rasilimali asili kwa maslahi ya mazingira limeaorodheshwa katika malengoya maendeleo endelevu au SDGs. Ili kufahamu hali ilivyo nchini Uganda, mwandishi wetu John Kibego ameameandaa makala ifuatayo iliyojikita katika hatima ya Msitu Bugoma, moja ya misitu ya akiba iliyo mikubwa zaidi nchini humo.

(Makala ya John Kibego)

Soundcloud

 

Audio Credit
Brenda Mbaitsa/ John Kibego
Audio Duration
3'42"
Photo Credit
UNEP