Miongoni mwa habari anazokuletea hii leo Arnold Kayanda katika Jarida la Habari la UN
-Waziri wa mambo ya nje wa Burundi Burundi Ezechiel Nibigira ameuambia mjada wa Baraza Kuu kwamba nchi yake sasa inaani ya kutosha na kila kitu kiko shwari
-Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen akaribishwa kuachuliwa kwa wafungwa wa vita zaidi ya 290 nchini humo
-Vijana nchini Kenya wameombwa kubadili fikra wanapotumia mitandao ya kijamii ili iweze kuwa na faida na si hasara amesema Philip Ogola kutoka UN Foundation
-Katika makala leo tuko Uganda kuangazia uharibifu wa msiku wa Bugoma na athari zake
-Na mashinani tuelekea bTanzania kwa mwanasoka Mbwana Samatta anayesakata gozi Ulaya akieleza umuhimu wa malezi ya mtoto