Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Rwanda yafungua milango yao kwa wakimbizi walioko Libya

Rwanda yafungua milango yao kwa wakimbizi walioko Libya

Pakua

Maandalizi ya mwishomwisho yanaendelea kwenye kituo cha muda cha Gashora nchini Rwanda ambako kundi la kwanza la wakimbizi na waomba hifadhi lilitarajiwa kuwasiku juma hili. 

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Flora Nducha
Audio Duration
1'58"
Photo Credit
UN OCHA/GILES CLARKE