Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nataka kuimarisha somo la sayansi hususan kwa wanafunzi wa kike- Mwalimu Tabichi

Nataka kuimarisha somo la sayansi hususan kwa wanafunzi wa kike- Mwalimu Tabichi

Pakua

Lengo langu kama mwalimu ni kuhakikisha kwamba nawawezesha wanafunzi wangu kielimu lakini zaidi nje ya darasa kwa ajili ya kuhakisha wanabobea si tu katika mazingira ya darasa lakini pia kimaisha.

Audio Credit
Grace Kaneiya/Peter Tabichi
Audio Duration
2'19"
Photo Credit
UNFPA/Roar Bakke (maktaba)