Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

25 Septemba 2019

25 Septemba 2019

Pakua

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa awaeleza wajumbe wa mjadala wa Baraza la Umoja wa Mataifa kuwa hatua zimepigwa lakini bado wana kazi katika kutimiza haki za mtoto. Wakati huo huo Mkataba wa haki za mtoto ukitimiza miaka 30, haki za mtoto Yemen bado ziko mashakani, na mwalimu Peter Tabichi, mshindi wa tuzo ya mwalimu bora kimataifa ambaye alitunukiwa tuzo hiyo kufuatia kujitolea kwake kwa hali na mali katika kufanikisha utendaji wa wanafunzi wake katika shule ya sekondari ya Keriko iliyoko kaunti ya Nakuru nchini Kenya asema atatumia tuzo na nafasi yake kuwezesha wanafunzi na jamii.

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
12'5"