Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kila mtu duniani anawajibika kutekeleza SDGs:Dkt. Philip Mpango

Kila mtu duniani anawajibika kutekeleza SDGs:Dkt. Philip Mpango

Pakua

Waziri wa fedha na mipango wa Tanzania, Dkt Philip Mpango ametoa wito wa jumuiya nzima ya kimataifa kuwajibika kwa pamoja ili kutekeleza malengo ya maendeleo endelevu SDGs kwani ili lengo moja litimie katika nchi moja, pia linahitaji uwajibikaji wa nchi nyingine.

Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Sauti
2'47"
Photo Credit
UNHCR/Benjamin Loyseau