Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

24 Septemba 2019

24 Septemba 2019

Pakua

Hofu imegeuzwa mtaji hivi sasa duniani, Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres aueleza mjadala mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA74. Waziri wa afya wa Kenya Sicily Kariuki asema ili tutimize SDGs Kenya lazima tuhakikishe huduma za afya kwa wote.  Naye Waziri wa fedha na mipango wa Tanzania Dkt Philip Mpango atoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kushirikiana kutekeleza SDGs.

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
14'2"