Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maoni ya wakazi wa Hoima Uganda kuhusu huduma ya afya

Maoni ya wakazi wa Hoima Uganda kuhusu huduma ya afya

Pakua

Wakati viongozi wa dunia wamepitisha azimio la kisiasa la kuhakikisha huduma ya afya kwa wote inapatikana kwa kila mkazi wa dunia ifikapo mwaka 2030, nchini Uganda mwandishi wetu John Kibego amevinjari katika maeneo ya Hoima ili kuweza kupata maoni  ya wananchi kuhusu huduma hiyo adhimu. 

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
2'43"
Photo Credit
World Bank/Arne Hoel