Matarajio ya wiki ya mjadala mkuu wa Baraza Kuu na Balozi Mero

20 Septemba 2019

Katika kuelekea wiki ya vikao vya mjadala mkuu wa Baraza Kuu vitakavyowakutanisha viongozi wa dunia katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani, tunaye Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Modest Mero kuchambua yatakayojiri.

Audio Credit:
Arnold Kayanda/ Modest Mero
Audio Duration:
5'11"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud