20 Septemba 2019

20 Septemba 2019

Jaridani Septemba 20, 2019 na Assumpta Massoi

Habari kwa Ufupi- Ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuelekea siku ya amani duniani ambayo imeadhimishwa leo kwenye makao makuu ya Umoja huo, na kijana kutoka Kenya na ujumbe wake kwa nchi zilizoendelea kuhusu kulinda mazingira na Shirika la Umoja wa Mataifa laelezea kusikitishwa na ongezeko la machafuko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.

Kwenye mada kwa kina tunaangazia mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wa 74 na balozi Modest Mero kutoka Tanzania.

Neno la wiki linachambuliwa neno baharia.

Audio Credit:
Assumpta Massoi
Audio Duration:
9'58"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud