19 Septemba 2019

19 Septemba 2019

Jaridani leo Alhamisi  Septemba 19, 2019 na Assumpta Massoi-

-Wanawake na watoto wanaishi zaidi leo hii kuliko awali – WHO/UNICEF

-Nchi 41 zahitaji msaada wa chakula, idadi kubwa zinatoka Afrika- FAO

-Hata nikikata pumzi sasa kile nimefanya kimetosha- Mshindi wa Nansen Afrika 2019

Na makala tunaelekea mkoani Songea nchini Tanzania na changamoto zinazokwamisha mazingira sahihi kwa wanafunzi wanoishi na ulemavu.

Mashinani leo tupo nchini Kenya. 

Audio Credit:
Arnold Kayanda
Audio Duration:
14'13"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud