Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nawakirimu si kwa kuwa nina uwezo bali kwa sababu ya upendo- Marta

Nawakirimu si kwa kuwa nina uwezo bali kwa sababu ya upendo- Marta

Pakua

Baadhi ya raia wa Colombia waliofungua milango ya nyumba zao ili kukirimu raia wa Venezuela wanaokimbia madhila nchini mwao wamesema kile wanachofanya si sadaka bali ni kitendo cha upendo na uwepo wa wakimbizi hao umebadili maisha yao.

Audio Credit
Arnold Kayanda
Audio Duration
2'2"
Photo Credit
©UNHCR/Vincent Tremeau