18 Septemba 2019

18 Septemba 2019

Jaridani Septemba 18, 2019 na Assumpta Massoi

-Mlo wa asili Mediterranea ni muhimu kwa SDGs:FAO

-Umoja wa Mataifa wataka kujengwa miundumbinu ya kudumu ili kuokoa maisha na kupunguza watu kuhama

-Baadhi ya raia wa Colombia waliofungua milango ya nyumba zao ili kukirimu raia wa Venezuela wanaokimbia madhila nchini mwao wamesema kile wanachofanya si sadaka bali ni kitendo cha upendo na uwepo wa wakimbizi hao umebadili maisha yao

Na makala tunaelekea visiwani  Zanzibar kusikiliza kuhusu kituo cha huduma rafiki kwa vijana kutokana na msaada wa UNFPA.

Mashinani leo tuko Burkina Faso katika kuhakikisha huduma za afya kwa wote ,hususani makahaba mkakati maalum umeanzishwa ili kuwafikia , kuwaelimisha na kuwapatia huduma

 

Audio Credit:
Assumpta Massoi
Audio Duration:
12'29"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud