17 Septemba 2019

17 Septemba 2019

Jaridani Septemba 17 na Assumpta Massoi-

-WHO yataka hatua za dharura kupunguza madhara kwa mgongwa wakati wa matibabu.

-Mapigano Birao nchini CAR yamesababisha janga kwa wakazi-OCHA.

-Umaskini, elimu na ujumuishaji ni vipaumbele vya kwanza katika orodha ya vipaumbele vya Rais mpya wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

-Na makala leo tunaelekea nchini Uganda ambako John Kibego amevinjari kubaini hatima ya wanawake kati ya ongezeko la shughuli za uchimbaji wa madini mashariki mwa nchi.

Mashinani leo tuko Somalia kusikia maoni ya umuhimu wa mchango wa wanawake na wasichana katika mchakato wa amani

 

 

Audio Credit:
Assumpta Massoi
Audio Duration:
10'48"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud