16 Septemba 2019

16 Septemba 2019

Jaridani leo Jumatatu Septemba 16 na Assumpta Massoi-

-Mwanamke aliyebakwa na wanaume 17 Sudan Kusini ahoji kazi ya kamisheni ya haki za binadamu

-Tunapokabiliana na mabadiliko ya tabianchi tusipuuze takabaka la Ozoni-Guterres 

-Vijana kutoka Kenya wafanya mkutano wa maandalizi ya mkutano wa hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi

-Katika makala ni maandalizi ya mkutano wa hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.

Na mashinani tunaelkea nchini Tanzania kusikia kutoka kwa Afisa mkuu wa mawasiliano wa shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu, UNFPA

Audio Credit:
Assumpta Massoi
Audio Duration:
12'38"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud