Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Majadiliano ya kuunda serikali mpya Sudan Kusini yamefanyika kwa awamu ya pili mjini Juba

Majadiliano ya kuunda serikali mpya Sudan Kusini yamefanyika kwa awamu ya pili mjini Juba

Pakua

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na aliyekuwa naibu wake Riek Machar wamekamilisha majadiliano ya siku ya pili mjini Juba nchini Sudan Kusini huku viongozi hao wawili wakirejelea azma ya kufikia amani huku wakiahidi kukutana mara kwa mara kuelekea uundaji wa serikali ya mpya ya umoja wa kitaifa inayotarajiwa Novemba 12 mwaka huu 2019.

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
2'43"
Photo Credit
UNifeed Video