Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hali ya chakula Sudan Kusini bado ni mtihani:UN

Hali ya chakula Sudan Kusini bado ni mtihani:UN

Pakua

Zaidi ya nusu ya watu wote nchini Sudan Kusini hawana uhakika wa chakula licha ya juhudi ha hatua zilizopigwa yamesema mashirika ya Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, la mpango wa chakula WFP na la chakula na kilimo FAO.

Audio Credit
UN News/ John Kibego
Audio Duration
2'4"
Photo Credit
FAO/Giulio Napolitano