Asilimia 54 ya watu Sudan Kusini hawana uhakika wa chakula imesema FAO, UNICEF na WFP. Nchi zinazoendelea lazima zibadili mwelekeo kuacha utegemezi wa bidhaa yasema UNCTAD, na WMO yaanzisha mradi wa kuokoa maisha dhidi ya athari za hali ya hewa ziwa Victoria.