Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi mabinamu kutoka CAR wasema vita vilitutenga, lakini tunachopigania ni elimu.

Wakimbizi mabinamu kutoka CAR wasema vita vilitutenga, lakini tunachopigania ni elimu.

Pakua

Hakuna kitu kibaya duniani kama vita, kwani vinasambaratisha familia, nchi hata ndoto, kwa majubu wa mabinamu wawili kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR waliolazimika kufungasha virago na kukimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2013.

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
1'36"
Photo Credit
UNICEF/Ashley Gilbertson