Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP sasa kujielekeza katika mahitaji mengine baada ya chakula kufika visiwani Bahama

WFP sasa kujielekeza katika mahitaji mengine baada ya chakula kufika visiwani Bahama

Pakua

Shirika la mpango wa chakula duniani, WFP linasaidia harakati za kutoa msaada wa dharura  Bahamas nchi ambayo inakabiliwa na athari kubwa zilizosababishwa na kimbunga Dorian, ikiwa ni kimbunga kibaya zaidi kuwahi kukumba visiwa hivyo.

Audio Credit
Brenda Mbaitsa
Audio Duration
1'53"
Photo Credit
U.S. Coast Guard District 7