Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Serikali ya Rwanda, UNHCR na Muungano wa Afrika wakubaliana kuhamisha wakimbizi kutoka Libya

Serikali ya Rwanda, UNHCR na Muungano wa Afrika wakubaliana kuhamisha wakimbizi kutoka Libya

Pakua

Serikali ya Rwanda, Shirika la Kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR na Muungano wa Afrika, AU leo hii wametia saini makubaliano ya kuanza mchakato wa kuhamisha wakimbizi kutoka Libya. 

Audio Credit
Jason Nyakundi
Audio Duration
1'48"
Photo Credit
© UNHCR/Mohamed Alalem