10 Septemba 2019

10 Septemba 2019

Mahitaji ya chakula katika visiwa vya Bahama yamefikiwa, kipaumbele sasa ni msaada wa vifaa limesema shirika la mpango wa chakula duniani, WFP.  Rwanda, UNHCR na Muungano wa Afrika wakubaliana kuhamisha wakimbizi kutoka Libya. Vita vilitutenga, lakini tunachopigania ni elimu waeleza mabinamu wakimbizi toka CAR. 

Audio Credit:
Flora Nducha
Audio Duration:
11'41"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud