Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa UN-Habitat wafungua fursa za kiuchumi kwa wakazi wa Mombasa, pwani ya Kenya.

Mradi wa UN-Habitat wafungua fursa za kiuchumi kwa wakazi wa Mombasa, pwani ya Kenya.

Pakua

Shirika la makazi la Umoja wa Mataifa, UN-Habitat kwa kushirikian na serikali ya Kenya na wadau wametekeleza mradi wa kuimarisha makazi ya vitongoji duni kama sehemu ya mpango wa ukarabati wa jaribio wa nyumba za mabanda na kuwa makazi bora kwenye kaunti ya Mombasa.

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
1'48"
Photo Credit
© UN-Habitat/Kirsten Milhahn