Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtoto mkimbizi kambini Cox’s Bazar aeleza ndoto yake

Mtoto mkimbizi kambini Cox’s Bazar aeleza ndoto yake

Pakua

Mtoto mkimbizi kutoka Mynmar anayeishi Cox’s Bazar nchini Bangladesh amesema bila kujali mazingira anayoishi anataka kutimiza ndoto yake ya kusoma na kuwa mhandisi au daktari.

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
1'25"
Photo Credit
© UNICEF Patrick Brown