Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

PAHO na WHO watoa ombi la msaada wa dola milioni 3.5 kwa huduma za kibidamu Bahamas

PAHO na WHO watoa ombi la msaada wa dola milioni 3.5 kwa huduma za kibidamu Bahamas

Pakua

Muungano wa shirika la afya la nchi za Amerika (PAHO) na lile na Afya duniani (WHO) umetoa ombi la dola milioni 3.5 kwa wafadhili ili kugharamia kipindi kifupi cha huduma  za afya na mahitaji mengine kwa watu walioathiriwa na kimbunga Dorian huko Bahamas.

Audio Credit
Arnold Kayanda
Audio Duration
1'49"
Photo Credit
© UNICEF/Moreno Gonza