9 Septemba 2019
Muungano wa shirika la afya la nchi za Amerika (PAHO) na lile na Afya duniani (WHO) umetoa ombi la dola milioni 3.5 kwa wafadhili kusaidia Bahama. Nisipokuwa mhandisi au daktari basi nitakuwa mwalimu asema mtoto mkimbizi kambini Cox’s Bazar. Shirika la makazi la Umoja wa Mataifa, UN-Habitat kwa kushirikian na serikali ya Kenya na wadau wametekeleza mradi wa kuimarisha makazi ya vitongoji duni.
Audio Credit:
Flora Nducha
Audio Duration:
11'3"