Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mashirika ya Umoja wa Mataifa na wadau waendelea na harakati za kutoa msaada Bahamas

Mashirika ya Umoja wa Mataifa na wadau waendelea na harakati za kutoa msaada Bahamas

Pakua

Wakati Umoja wa Mataifa na watoa misaada wengine wakiendelea na shughuli za kutoka msaada katika visiwa vya Bahamas ripoti za hivi punde zinaashiria kwamba idadi ya vifo huenda ikaongezeka kwa mujibu wa Shirika la afya ulimwenguni, WHO.

Audio Credit
Grace Kaneiya
Audio Duration
1'45"
Photo Credit
Leah Powell